NYIRADI TV
NYIRADI TV--Islamic Voice ni channel inayolenga kueneza sauti ya Uislamu kwa kutoa Elimu, Mawaidha na Nasaha zinazotokana na Qur'an Tukufu na Sunnah sahihi za Mtume Muhammad (s.a.w) .
Kupitia Channel hii utapata;
๐ซMafunzo ya Qur'an na Tafsiri.
๐Darsa za Aqeedah,Fiqh na Hadithi.
๐ชกNasaha zenye kugusa Moyo.
๐ฟDua, Dhikr na Maadili ya Uislamu.
โMaswali na Majibu kuhusiana na Dini.
๐ฏLengo letu ni kuimarisha Imani, kuelimisha jamii na kukuza maadili mema kwa sauti ya ukweli na hekima.
๐Subscribe Nyiradi TV--Islamic Voice ili usikose maudhui yenye manufaa kwa dunia na akhera.
๐"Na wakumbushe, kwani kukumbusha kunawafaa Waumini".(Qur'an 51:55)
๐"Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu". (Qur'an 3:19)
Mawasiliano ya moja kwa moja na Othman Nyiradi.
No: +255 710 228 104.
+255 745 228 104.Entertainment
Society & Culture
Performance Overview
Avg. Daily Views
(Shorts)
โAvg. Daily Views
(Videos)
โAvg. Views per
Shorts
โAvg. Views per
Video
โAlgorithm Score
โEngagement Rate
โSubscriber Activity Rate
โ