CHECHE Filmz
Karibu kwenye CHECHE FILMZ ๐ฌ๐ฅ
Hii ni channel inayokuletea filamu za Kiswahili za kusisimua, drama kali, hadithi za maisha ya jamii, mapenzi, suspense, horror pamoja na matukio halisi ya mtaani. Lengo letu ni kusimulia hadithi zenye mafundisho, burudani na hisia kali ambazo kila mtazamaji ataweza kujifunza na kufurahia.
Kupitia CHECHE FILMZ, utapata:
๐ฅ Filamu mpya za Kiswahili
๐ฌ Short films na series
๐ฅ Trailers na vipande vya matukio ya kusisimua
๐ญ Hadithi zinazoakisi maisha halisi ya jamii
Kama unapenda filamu za Kiswahili zenye ubora na simulizi kali, basi hii ndiyo sehemu sahihi kwako.
๐ Subscribe sasa, washa alama ya kengele ๐ ili usikose filamu mpya kila tunapoposti.
CHECHE FILMZ โ Hadithi Zinazowasha Hisia. ๐ฅ๐ฌ
KWA MAWASILIANO ZAIDIFilm & Animation
Vlog & Lifestyle
Performance Overview
Avg. Daily Views
(Shorts)
โAvg. Daily Views
(Videos)
โAvg. Views per
Shorts
โAvg. Views per
Video
โAlgorithm Score
โEngagement Rate
โSubscriber Activity Rate
โ