African Untold Tales
Karibu African Untold Tales Online TV!
Hapa ndipo nyumbani kwa simulizi, tamthilia na hadithi za kusisimua kutoka kila pembe ya bara la Afrika ambazo hazijawahi kusikika. Tunakuletea visa vya kweli, mikasa ya maisha, hadithi za kale zenye mafundisho (folktales), na maisha ya kitamaduni yaliyosheheni hekima, mikasi, na usiri mkubwa.
Lengo letu ni kuhifadhi na kusherehekea urithi wa kitamaduni wa Afrika kupitia video zenye ubora wa juu na uigizaji wa kipekee unaogusa hisia.
펫 / 동물
퍼포먼스 요약
일일 평균 조회수
(Shorts)
일일 평균 조회수
(롱폼)
영상별 평균 조회수
(Shorts)
영상별 평균 조회수
(롱폼)
채널 알고리즘 스코어
시청자 참여도
구독자 활성도