Agent-V
유튜버 찾기
요금 안내
광고 대행 서비스
크롬 익스텐션
블로그

Yuhoma Tv thumbnails
Yuhoma Tv
Sera ya Yuhoma Tv 2026 Hii Channel haifungamani na upande wowote wa kisiasa wala Kidini na inamilikiwa na watu binafsi *Mpenzi Mtazamaji wa Yuhoma Tv ,tunashukuru Sana kwa kutuamini lakini pia kufuatilia habari tunazozileta kwako kila siku na hakika umekuwa watu muhimu kwetu NOTE: 🚫 Ili kuendana na sheria za Nchi ni Rai yetu kwako kuzingatia Matumizi sahihi ya Lugha wakati unatoa maoni yako kuhusu Jambo lolote yasimuathili mwingine 🚫Ni Marufuku kumtukana mtu kwa Namna yeyote ile ,usimshambulie mtu kwa sababu ya tofauti za kisiasa ,kiuchumi hata kielimu kwakuwa Ni kukiuka sheria za Nchi na kwa yeyote tutakaye mbaini amefanya hivyo tutamripoti kwenye Vyombo vya sheria ili hatua zichukuliwe 🚫Ni Marufuku kuchapisha habari yeyote ambayo inalenga upotoshaji au udharirishaji wa Aina yeyote hatua zitachukuliwa zaidi.
사회 / 문화
뉴스
구독자 수
36.6만
총 영상 수
2.4천 개
국가
탄자니아
채널 가입일
2018-07-06
구독자 등급
Macro실버
Link
YouTube Icon

퍼포먼스 요약

일일 평균 조회수 (Shorts)

일일 평균 조회수 (롱폼)

영상별 평균 조회수 (Shorts)

영상별 평균 조회수 (롱폼)

채널 알고리즘 스코어

시청자 참여도

구독자 활성도

구독자 수 변화량


구독자 상승률


유사 채널